DJ BEKA akifanya vitu vyake ndani ya African Bash mjini Rome ,iliyofanyika tarehe 26/12/2008 ambayo ilifana sana.Wadau wanatoa pongezi kwa matayarisho mazuri na muziki wa kizazi kipya uliopagawisha ndani Rome mpaka kusheee...!!






Kondela na mai waifu wake &Mattia
Khalifa,Awadh & Lilian



Babu Nasoro akipoza na mishkaki baada ya kuyaruka sana
BIGGIE WA ROME
Rome ...
Picha kwa hisani ya mdau Andy (African Bash Organizer)
All rights reserved.