Jumuiya ya Watanzania Italia (IN CAMPANIA) itakuwa inatoa huduma kwa wanajumuiya yaani wanachama hai watakaokuwa wamejiandikisha na kufuata taratibu zote .
Kuanzia mwezi Septemba 2022 zitapatikana huduma zifuatazo:
- Assistenza legale/ huduma zote za kisheria
- Kesi za madai ya aina zote,
- Maombi ya vibali vya ukazi
- Nafasi za kazi
- Nafasi za masomo na kozi za ujuzi mbalimbali
- Usajili wa kampuni na biashara
- Kufahamu haki zako na wajibu kama mgeni
Huduma zote hizo zitatolewa na wabobezi wa sheria na masuala ya biashara na kazi
Social Plugin