THE NGOMA AFRICA BAND YATESA UFINI


The Ngoma Africa Band yenye makazi yake Ujerumani ,walitoa burudani kali ya kukata na mundu UFINI kwenye tamasha la 'FEST AFRIKA WINTER JAM.

Chini ya uongozi wake Ras Makunja waliweza kukonga vilivyo mashabiki.Walionyesha uwezo mkubwa wa kulitawala jukwaa kuanzia muda,uimbaji,uchezaji na kuwashirikisha mashabiki.

Kwa PICHA na matukio ya FEST AFRICA WINTER JAM unaweza kubofya HAPA

Mdau wa globu ya jamii Ufini.
http://www.edondaki.blogspot.com

Post a Comment

2 Comments

Anonymous said…
hapabofyeki.
Anonymous said…
lini?ngoma africa band mtakuja Italy?tunahamu sana ya kumsikia ras makunja na madongo yako.