Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Napoli alipokuwa akishuka stesheni ya Roma leo akielekea ubalozini katika moja ya majukumu yanayomkabili kama Kiongozi mkuu. Pamoja na shughuli zingine pia aliwasilisha barua ya ufafanuzi zaidi kuhusu matatizo ya Ndugu... (jina limehifadhiwa) ya kiafya.
Watanzania mnaombwa mjitokeze kwa wingi kujiunga na jumuiya ili tuweze kutambuana,kuwa karibu na kusaidiana(hayo yalisisitizwa sana na Katibu mkuu katika mkutano uliopita wa jumuiya)
0 Comments