
JAMES alitembelewa na wageni muda mchache kabla hawajaondoka,wageni walifurahishwa na kupenda sana duka la SEE WEAR na pamba zake .wageni waliingia dukani hapo na kila mmoja kuchagua kile alichopenda ,ingawa hawakujitayarisha kufanya shoping lakini kwa haraka haraka kila mmoja alinunua kitu. karibu SEE WEAR ujionee mwenyewe. James kwa niaba ya SEE WEAR management anapenda kuwashukuru wageni wote na maofisa wa ubalozi waliotembelea SEE WEAR.KARIBU SANA!!
(Gfamily)
0 Comments