
Mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania Italia,(L) Mh.ABDULRAHMAN A.ALLI katika picha ya pamoja na katibu wa jumuiya Napoli mjini ndugu LIVINUS MWEREKE pamoja na Katibu mkuu wa tawi la jumuiya wa REGIONE CAMPANIA ndugu J.MANDAI. hii ilikuwa katika sherehe za EID UL FITRI.picha na GEORGE MAYAKA. kwa picha zaidi tembelea WABONGO UGHAIBUNI
0 Comments