TAARIFA KWA WASOMAJI WETU WA BLOG YA JUMUIYA YA WATANZANIA ITALIA

 


Taarifa kwa umma

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Italia, unapenda kuwataka radhi wasomaji wetu wetu wote na wanajumuiya kwa ujumla kwa kusimama kwa blog yetu kw amuda mrefu kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu. Tunafuraha kuwatangazia sasa Blog iko hewani rasmi tena 24/7 , kama kawaida kuwaletea matukio ya diaspora wa Italy,Taarifa na matangazo muhimu. 

Karibuni sana.

Kny. Uongozi


 


Post a Comment

0 Comments