WAINGEREZA WAJIFUNZE KUISHI NA HOMA YA KORONA KAMA WANAVYOISHI NA HOMA YA MAFUA YA KILA MSIMU

 No more lockdowns: UK will treat Covid like seasonal flu, says Chris Whitty 

England's chief medical officer Chris Whitty said the UK will have to start treating Covid like seasonal flu (Getty Images)
 Read

Na  AbuLuLuFaJM

Tabibu na Mganga mkuu wa Uingereza Chris Whitty, Amesema kuwa, Mpaka Kufikia Mwezi June 2021, Hakuta kuwa na Karantini Tena, Nchi ya Uingereza itaichukulia Korona Kama Mafua ya Msimu.

Wazo kwamba virusi vya Korona vinaweza kuzuiliwa kwa kuwazuia watu kutoka nje au kuingia nchini  "sio za kweli" (not realistic), Tutalazimika kutibu Korona kama tunavyotibu homa ya mafua mengine, yanayokuja kila msimu, alinukuliwa Prof Chris Whitty.

Akiongea katika wavuti ya Royal Society of Medicine, mshauri mkuu wa matibabu wa Uingereza alisema vizuizi vya Covid huenda vikasababisha idadi ya 'R' kuongezeka juu zaidi ya 1 na hii kupelekea watu wengi kuathirika.

(R = effective reproduction number -  ni njia ya kukadiria uwezo wa ugonjwa kuenea. Ni idadi ya wastani ya watu ambao mtu mmoja aliyeambukizwa atapambukiza virusi kwa wengine).

Soma Zaidi...

https://www.telegraph.co.uk/news/2021/04/01/no-lockdowns-britain-will-treat-coronavirus-like-flu-says/

https://www.theguardian.com/world/2021/apr/01/chris-whitty-society-will-have-to-learn-to-live-with-covid-in-similar-way-to-flu

https://www.cityam.com/no-more-lockdowns-uk-will-treat-covid-like-seasonal-flu-says-chris-whitty/

Post a Comment

0 Comments