BASHE ATUMA UJUMBE MUHIMU KWA DIASPORA

 


Waziri wa kilimo Mh.Hussein Bashe amesisitiza kutoa kuamini maneno ya mitandaoni ili kuepuka kutapeliwa. 

Kauli hii inawagusa moja kwa moja Watanzania wanaoishi nje ya nchi, kwani wamesha kutana na

 

 

 

 "Nasisitiza hakuna kilimo Cha WhatsApp, Instagram au Twitter,kama una fedha zako nenda kajiridhishe hicho unachokiona mtandaoni,nunua ardhi yako,ajiri watu,usikubali hizi habari za leta 10M nikakulimie utapata 15M,nenda shambani mwenyewe" W/Kilimo @HusseinBashe 


Post a Comment

0 Comments