MSIBA UMETOKEA LEO

KATIBU WA JUMUIYA YA WATANZANIA ANAWATAARIFU KUWA - MSIBA UMETOKEA AMEFARIKI SHEMEJI YETU(RINA) KWA NDUGU YETU DF, UNAWEZA KUPATA TAARIFA KAMILI PALE EX-WAZOBIA PHONE CENTER KWA MABASTOLA.
RIP

Post a Comment

0 Comments