KUTANA NA MREMBO WA KILA MWEZI ITALY( Coming soon)

Tutakuwa tukiwaletea mrembo wa Kitanzania Italy kila mwezi,kwa hiyo kaeni mkao wa kula kwani warembo hao wote wana ujumbe mwanana kwetu na pia utapata bahati ya kuwa na contact na warembo wa kitanzania hapa Italy na Ughaibuni kwa jumla. Kwa wale wana mitindo wetu huko Tanzania msisite kuwaalika warembo wetu katika show zenu bora mtoe taarifa mapema. Nia hasa ni kutaka kuwatambulisha warembo wetu mbele ya jamii na katika fani mbali mbali za kibiashara na kuweza kuchangia kutoa ujumbe kwa jamii.
Mrembo wetu wa mwezi huu wa june atolewa rasmi jumamosi tarehe 28/06/2008.
*Gfamily *

Post a Comment

4 Comments

Anonymous said…
hahaha naham sana kumuona mrembo jamani...ebu anzeni na nyie hayo mambo ya wanamitindo...inafurahisha sana tena!!!
GFAMILY said…
HAHAH USIKONDE WEE KAA MKAO WA KULA MREMBO ANAKUJA VERY SOON!!
Anonymous said…
mreboooo,,wa italy tuna hamu saana kumuona,,maaana nyie ndio mabingwa wa dunia,,urembo jeee??
Anonymous said…
ianelekea wakina dada huko italy ...hawamo ktk mitindo ,,naona kila siku hajatokea..