Kutakuwa na mkutano wa viongozi leo saa kumi na moja 17:00 jioni. Mkutano huo utakaozungumzia sherehe za Uhuru za 9/dec zinazotarajiwa kufanyika rasmi mjini Napoli makao makuu ya Jumuiya ya Watanzania Italy.Mkutano pia utapanga siku ya ufunguzi wa tawi jipya la jumuiya. Viongozi wanatakiwa kuhudhuria na kuwahi mapema.