

Tamasha la mchezo wa bao lilifanyika mjini Torino tarehe 22-23/11/2008 karibu watu mia moja walitaka kujifunza kucheza bao.Bao ni mchezo unaochezwa sana na wazee kama nijuavyo tangu enzi lakini hivi sasa mchezo wabao umekuwa na wapenzi wengi hasa vijana,na sasa mchezo huu unachezwa hapa Italy. kwa picha zaidi za bao tembelea mkondo huu:http://picasaweb.google.it/nenowasaleh/GiocaTorino2008#bonyeza hapa pia:http://www.swahili.it/bao/
(picha kwa hisani ya NINO. All rights reserved)

0 Comments