


Labda tuipe jina ya kali ya Mwaka 2009! katika ali hisiyo ya kawaida juzi watu walivutwa kwa wingi katika kipindi cha salam katika matanagazo ya mchana ya Radio Deutche Welle Idhaa ya Kiswahili,Wimbo wa JAMILA kutoka kwao bendi maarufu ughaibuni
"The Ngoma Africa band" inayoongozwa na mwanamziki mtunzi na mwimbaji mchokozi
Ebrahim Makunja aka Ras Makunja au bwana kichwa ngumu!
wimbo ulivuta wasikilizaji kutokana na ujumbe aliokuwa anapewa JAMILA! ujumbe ulikuwa unasindikizwa na nyuzi au mdundo mkali, inaelekea mpya hii ahijawai kusikika katika radio yoyote !lakini wataalam wa Radio DW wamehiibua na kutuwacha wadau kuchanika mbavu!kwa kucheka,
Sijui labda huyu Jamila !kama kweli kafanya hayo ya kumvika taji laa ufalme katika mapenzi bwana kichwa ngumu! kumbe lilikuwa taji lenyewe ni kiremba cha moto na mkanda wa nyoka! mungu wangu
Hivi kweli mpenzi wako akikufunga mkanda wa nyoka kiunoni na kukuvika kiremba cha moto! Taji la aina hiyo katika mapenzi!? kutakuwa na usalama gani?
tulipokuwa tunafatilia kusikiliza wimbo huo wenye ujumbe mzito kwa jamila! mtangazaji nae labda mda wake ulikuwa umekwisha kwani!tulikuwa kama vile tumenyang'anywa Kata ya maji! wakati kiu akijakwisha!
Lakini hii mpya hajiwahi kusikika labda wenye "Wazee wa kutuliza ghasia" Ngoma Africa walitaka madongo haya yewe ya chini chini??? any way wastarabu wa Radio DW wamehamua kutupa RAHA BIN STAREHE
0 Comments