MJUE GEORGE MAYAKA


MPIGA PICHA WA JUMUIYA YA WATANZANIA ITALY NDUGU GEORGE MAYAKA.NDUGU MAYAKA ANAISHI NA KUFANYA KAZI MJINI ROME. KWA MAHITAJI YAKO YA PICHA NA VIDEO KWA KUMBUKUMBU ZA HARUSI,BIRTHDAY AU KWA TUKIO LOLOTE POPOTE PALE ULIPO NDANI YA ITALY, USISITE KUWASILINA NA NDUGU GEORGE MAYAKA, ILI UPATE HUDUMA ZILIZO BORA NA NAFUU.
KWA MAWASILIANAO PIGA NAMBA HII: 348 617229 AU MTUMIE E-MAIL:mayaka@hotmail.it

Post a Comment

0 Comments