SHEREHE ZA CANIVAL NA VALENTINE NAPOLI

Jumuiya ya Watanzania Italy kwa kushirikiana na Comune ya Villaricca Napoli (manispaa ya Villaricca)itashiriki katika sherehe za Canival zitakazofanyika siku ya tarehe 13/2/2010 katika manispaa ya Villaricca.Ratiba kamili itapatikana kesho.Watanzania watafanya onyesho la ngoma za kitamaduni. Pia siku ya tarehe 14/2/2010  kutakuwa na sherehe za Valentine zilizoandaliwa na wanawake wa kitanzania. Lady Judy ambaye mjumbe wa wanawake amesema kutakuwa na zawadi nono kwa washindi yaani Mr & Miss Valentine

Post a Comment

0 Comments