Libeneka jipya la Talk show laanza kwa kishindo Bongo.
Show ambayo ilivutia sana kutokana na uzoefu wa muendesha Talk show hiyo dada ANGELLA BONDO ambaye kwa wengi si mgeni machoni au masikioni. management ya SEE RECORDS ya mjini NAPOLI-Italy inapenda kutoa pongezi nyingi kwa Angella bondo Show pamoja na Promoter Ricky Bondo ambaye aliondoka hivi karibuni kuelekea Dar Es salaam rasmi kuhudhuria ufunguzi wa talk show hiyo.
Kwa picha zaidi tembelea: angellabondoshow


0 Comments