SIKU YA KITAIFA YA TANZANIA (TANZANIA NATIONAL DAY) KWENYE MAONYESHO YA DUNIA YA EXPO MILANO 2015 YANAYOENDELEA MILAN ITAKUWA TAREHE 13 JULY 2015 NA TAREHE 14 JULY 2015 NI SIKU YA KONGAMANO LA BIASHARA MGENI RASMI KATIKA SIKU HIYO ATAKUWA MH. SEIF SHARIF HAMAD, MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR. KWA WATANZANIA WOTE KUTAKUWA NA PASS ZITAKAZOTOLEWA BURE KWA AJILI YA KIINGILIO AMBAZO ZITATOLEWA MLANGONI. ILI UBALOZI UWEZE KUFAHAMU KIASI CHA PASI ZITAKAZOHITAJIKA TUNATAKIWA KUWASILISHA MAJINA YA WATAKAO SHIRIKI SIKU HIYO YA KITAIFA NA KWENYE KONGAMANO LA BIASHARA. WAKILISHA JINA LAKO KWA VIONGOZI WA JUMUIYA AU MOJA KWA MOJA KWA MWENYEKITI WA KAMATI YA DIASPORA.
Mwenyekiti
Tanzania Diaspora Committee in Italy.
0 Comments