Mh. Mahmoud Thabit Kombo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchi Italy akishiriki sala ya jeneza na baadae kuongoza dua kwa marehemu Mustafa Munawar Karim aliyefariki nchini Italy. Mh. Balozi katika msafara huo aliongoza na mkewe pamoja na Afisa wa ubalozi Bi Eva Kalua. Katika msiba pamoja na umma mkubwa wa Watanzania uliojitokeza pia walihudhuria viongozi wa jumuiya za Watanzania kutoka Roma na Genova ambao waliwakilisha jumuiya zao.
picha na matukio: (click photo to View)
HOTUBA YA MH. BALOZI KWA WATANZANIA
video & photo by Wabongo Ughaibuni Media
All Rights reserved ®
0 Comments