Mipango ya kusafirisha mwili wa marehe inafanywa kwa kusimamiwa na Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Italia in Campania.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Italia (Presidente) Sig.ra Judith Joseph amewataka Watanzania wote kujitokeza kwenye mikutano ili kuweza kuchangia taratibu hizo. Ubalozi wa Tanzania unafanyakazi kwa karibu na uongozi pamoja na wakala wa mazishi na taarifa za awali zinasema document zote muhimu zimekamilika.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA
AMIN.
0 Comments