
Sheikh katika sala ya idd leo mjini Napoli
Baadhi ya Watanzania waliohudhuria sala ya eid el- fitri leo mjini Napoli, Watanzania wengine walihudhuria sala ya eid huko SAN MARCELINO CASERTA.
Waumini wakisikiliza mawaidha
kutoka kushoto A.P,Kasanga aliebonyea,Katibu mipango wa Jumuiya ya Watanzania Napoli Slim Isihaka,Tyson(alie na kanzu bila kofia),IMMU Mnyamwezi,Double K' na JEMES WA SEE WEAR
Baada ya sala Watanzania walifungua kinywa pamoja katika mgahawa mjini Napoli
Wakina mama pia walikuwepo.Picha zote kwa msaada wa mdau maarufu wa blog hii James wa SEE WEAR

5 Comments
Mwenyezi Mungu awaongoze na awape kila mnaloliomba wote..
Hs
Eid Mubarak Gfamily
Eid Mubarak Gfamily
Eid Mubarak Gfamily
LAKINI MBONA HAMUELEWEKI KWENYE BLOGU HII? KWANI WATANZANIA WOTE ITALIA NI WANA CCM? HII INANIPA TASWIRA KUWA NYINYI HAMKO WA AJILI YA WATANZANIA WOTE HAPA ITALIA AMBAO KIITIKADI NA KIDEMOKRASIA WANAYO HAKI YA KUSHABIKIA VYAMA VINGINE VYA SIASA NJE YA CCM.
KIFUPI BLOGU YENU INAELEMEA ZAIDI KISIASA KULIKO KUWA BLOGU UWAKILISHI WA WATANZANIA WOTE HAPA ITALIA BILA KUJALI ITIKADI ZETU ZA KISIASA NA KIDEMOKRASIA.. MANTUWEKEA MAMBO NA CCM NA NEMBO ZA CCM .... HAMUONI KAMA NI KUWAKOSEA HAKI WATANZANIA WENGINE WASIOKUWA WAFUASI WA CCM??
USHAURI WANGU: TENGANISHENI BLOGU NA MAMBO YENU YA SIASA HASA HUU UCCM WENU. YAANI MAMBO YA CCM MNAYOSHABIKIA YAWEKENI KATIKA BLOGU YA KIPEKEE HUKO NAPOLI ILI NA BLOGU YA WATANZANIA ITALIA IBAKI BILA USHABIKI WA CHAMA CHOCHOTE KILE CHA SIASA ILI KUWEZA KUWATENDEA HAKI WATANZANIA WASIOSHABIKIA CCM NA AMBAO WANA HAKI YA KUJIUNGA NA JUMUIYA YA YA WATANZANIA ITALIA...
BILA KUFANYA HIVYO HAMUELEKI BONGO ZETU... HASA KULE KUFIKIRI KUWA KILA MTANZANIA NI MWANA CCM...YAANI INALETA DISGUSTOSO KUTEMBELEA BLOGU YENU KAMA MTU HANA ITIKADI YA MWANA CCM.
VIPI WAZEE AKILI ZENU!!
INNOCENT,
GRUMELLO DEL MONTE, BERGAMO