
ALI KIBA AKIWASILI NAPOLI

ALI KIBA AKILAKIWA NA MC JUDY


ALI KIBA AKIWA NA PROMOTER RICKY J.G BONDO

WATANZANIA WALIOMLAKI ALI KIBA JIJINI NAPOLI ITALY

CEO WA SEE WEAR ,ALI KIBA,SARA SEE,MAVUMBI NA LADY JUDY KATIKA PICHA YA PAMOJA MARA BAADA YA KUWASILI NAPOLI JANA

ALI KIBA AKIWA NA MSANII MPYA WA KIZAZI KIPYA BONGO FLAVA ANAEISHI ITALY MAVUMBI AMBAYE KATIKA SHOW ALITOKA NA SINGLE YAKE "UHAKIKA" feat:SARA SEE ,SINGLE YA MAVUMBI ITASIKIKA HIVI KARIBU KATIKA REDIO STATION HUKO NYUMBANI NA EUROPE.

ALI KIBA NDANI YA SEE WEAR
PICHA ZAIDI ZINAFUATA(photo by Gfamily)
1 Comments