Marehemu Makus Aboud(Said Salum Aboud)Maarufu kwa jina
la (SAID MACHALA)
Katibu mkuu wa jumuiya ya Watanzania nchini Ugiriki ndugu KAYU LIGOPORA, anasikitika kutangaza kifo cha mtanzania ndugu MAKUS ABOUD (SAIDI SALUM ABOUD)ambaye ni mwenyeji wa ZANZIBAR.Marehemu alifariki juzi mjini Athens, mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu inafanywa.Mpaka tunapata taarifa hizi sababu ya kifo chake bado haijajulikana. Mungu amlaze mahala pema AMIN!
2 Comments
do u remember me??? long time ago!! i hope u see this message and answer!!!