BALOZI DAUDI MWAKAWAGO AFARIKI

BALOZI DAUDI MWAKAWAGO (71) AMEFARIKI DUNIA  KATIKA HOSPITALI YA AGA KHAN JIJINI DAR ALIKOKUWA AMELAZWA KWA TAKRIBAN SIKU TISA AKISUMBULIWA NA MALARIA NA BAADAE NIMONIA.

Jumuiya ya Watanzania Italy imepokea taarifa za kifo cha balozi  kwa masikitiko makubwa,tunaungana na Watanzania wote pamoja na familia ya marehemu katika kipindi hili kigumu cha maombolezo.MwenyeziMungu amlaze mahala pema..Amin!

Abdulrahaman A.Alli
Mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania Italy.

Post a Comment

1 Comments

Anonymous said…
Bwana ametoa, Bwana ametwaa! Jina lake lihimidiwe! amina






ndezi