Kila mmoja akijaribu kupata suna kwa kutia mchanga kaburini  baada ya sheikh Rajabu Maulid kuanza,huku takbir zikiendelea.

Post a Comment

1 Comments

Anonymous said…
Poleni sana wafiwa inshaallah M.Mungu atawapa subra Amin, na inshaallah amweke mahala pema marehemu Amin.

Pia naomba kuuliza, kwanini marehemu amezikwa kwenye sanduku? amabapo kwa sheria za kiislamu alitakiwa atolewe kwenye sanduku atiwe kwenye mwana ndani, naomba jibu kwa waTZ wa huko Italy kwa anayejua sababu ya kuzikwa hivyo tafadhali huku ndio kuelimishana. Natanguliza Shukrani.