Pichani marehemu SALIM ISSA ISIHAKA
UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA ITALIA KWA NIABA YA WATANZANIA INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA NDUGU SALIM ISSA ISIHAKA KILICHOTOKEA LEO TAREHE 5/5/2010 MCHANA MJINI NAPOLI ITALY. MAREHEMU AMEUMWA GHAFLA.
MIPANGO YA MAZISHI INAFANYWA NA KWA TAARIFA ZA HARAKA NI KUWA MAREHEMU ATAZIKWA KATIKA MAKABURI YA KIISLAM MJINI ROMA. TAARIFA KAMILI YA SIKU YA MAZISHI ITATANGAZWA. JUMUIYA YA WATANZANIA ITALIA INAUNGANA NA WAZAZI ,NDUGU JAMAA NA MARAFIKI POPOTE PALE WALIPO KATIKA KUOMBOLEZA MSIBA HUU. MWENYEZIMUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI AMIN!!!
TAFADHALI KWA MAELEZO ZAIDI NA MICHANGO WASILIANA NA VIONGOZI WA MATAWI:
NAPOLI: TEL: +39 3488307269
MODENA/RAVENA: TEL:+ 39 3403475405
ROMA: TEL: +39 348 4617229
GENOVA: TEL: +39 333 952 8659
PADOVA/VENEZIA: TEL: +39 338 716 8944
0 Comments