Ndugu Kombo Kajembe anapenda kuwakaribisha Watanzania wote wanaoishi Italy katika sherehe ya kuzaliwa ya mwanae ABDI KOMBO (pichani) ambaye anatimiza miaka 18. Sherehe itafanyika mjini MODENA siku ya tarehe 25/09/2010
Post a Comment
1
Comments
Anonymous said…
happy birthday signori abdo kombo tuna kutakia kila la kheri katika sherehe yako ya kufiksha miaka 18 nanne haya tena ndiyo ukubwa huo nisalimie baba yako kajes
1 Comments