NDUGU KOMBO KAJEMBE AMBAYE NI KATIBU HAZINA WA JUMUIYA YA WATANZANIA TAWI LA MODENA ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA KAKA YAKE SALIM MOHAMED KAJEMBE KILICHOTOKEA LEO TANGA. MAREHEMU NI MMOJA WA WACHEZAJI SOKA ENZI HIZO WA TIMU KONGWE YA AFRICAN SPORTS YA TANGA ATAZIKWA KESHO SAA SABA MCHANA MJINI MHEZA -TANGA. JUMUIYA YA WATANZANIA ITALIA INAUNGANA NA FAMILIA,NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KATIKA KUOMBOLEZA MSIBA HUU. MAREHEMU SALIM MOHAMEDI KAJEMBE 63 ATAKUMBUKWA NA WENGI KATIKA ULIMWENGU WA SOKA TANZANIA.
MOLA AMLAZE MAHALA PEMA AMEEN!!
KWA SALAAM ZA RAMBIRAMBI MPIGIE KOMBO KAJEMBE: TEL.+39 3807890889 AU ANDIKA KWA JUMUIYA E-MAIL: tnzncommunity@yahoo.com

1 Comments