JUMUIYA YA WATANZANIA ITALIA INAWATANGAZIA NA KUWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE WANAOISHI ITALIA NA NJE KUWA SHEREHE ZA UHURU DAY ZITAFANYIKA NAPOLI SIKU YA TAREHE 11/12/2010 KUANZIA SAA KUMI NA MOJA JIONI.
TAFADHALI TUZINGATIE MUDA KWANI KUTAKUWA NA WAGENI WENGI KUTOKA NJE UKIWEMO UGENI RASMI KUTOKA UBALOZI WA TANZANIA ROME.
KWA WALE WOTE WANAOTOKA MBALI MNAWEZA KUWASILIANA NASI MAPEMA KWA AJILI YA MALAZI ,USAFIRI NK.
Contact: Tel. +39 348 8307269
E-mail. tnzncommunity@yahoo.com
1 Comments