Mr Andrew Method Chande hatimae leo amefika salama Tanzania akisindikizwa na mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Napoli Mr Abdulrahman Kosh. katika uwanja wa ndege wa baba wa Taifa,ndugu Andrew alipokewa na ndugu na jamaa wa karibu. Ndugu wa Andrew kwa niaba ya famili yote walitoa shukrani zao kwa Jumuiya ya Watanzania Napoli Italy,na kwa wale wote waliojitolea kufanikisha safari ya ndugu yao. Mwenyekiti anategemea kuwa na mazungumzo na famili ya ndugu ANDREW kesho mida ya lunch taimu.
0 Comments