JIFUNZE KITALIANO

Leo tutatoa maneno machache kwa kuanza somo hili.ni kiasi cha kukupa mwangaza kidogo. Jumuiya ya Watanzania Italy imeona kuwa kuna umuhimu kwa wale waliopo hapa na hata waliopo nje ya italy.Kwa waliopo hapa wanaweza kupata maelezo ya kujiunga na kozi ya lugha ya kitaliano ambayo inavipengele tofauti kwa mfano intensive course inachukua miezi miwili nk. wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

Maneno ya leo:english/italian
Daily conversation:
  1. Good morning sir ------------ Buongiorno Signore
  2. Good morning Madam- ------Buongiorno Signora
  3. Good morning (young lady)-- Buongiorno Signorina
  4. Good morning (young man) --Buongiorno Signorino
  5. what is your name?--------- -Come ti chiama?
  6. My name is Andrew--------- Mi chiamo Andrew
kwa leo tunaishia hapo, somo letu litaendelea kesho.

Post a Comment

0 Comments