FIRENZE


Viatu vya kichina vimekamatwa huko Florence, tunaambiwa navyo vina matatizo kwa afya za binaadam! jamani huko Tanzania angalieni kila product ya kichina manake huko kwetu ndio wamekufanya jalalani kwao ,ukiona kitu ni bei rahisi sana basi ujue malipo yake ni makubwa zaidi.

Post a Comment

0 Comments