MREMBO WA ITALY

Tunasikitika kuwatangazia kuwa yule mrembo tuliesema kuwa atolewa rasmi leo jumamosi 28/06/2008 kwa mara ya kwanza,hilo limeshindikana kwa sababu zisizoweza kuzuilika,tunaomba samahani kwa kuwaweka mkao wa kula. taarifa rasmi tutawaletea muda si mrefu.

Post a Comment

1 Comments

Anonymous said…
poa..wabongo uvumilivu ndio zetu...!