Mapozi na Mary wakifungua mziki rasmi kusheherekea birthday na uchumba kwa jumla (Photo by Gfamily)
Post a Comment
5
Comments
Anonymous said…
minga!!!questa buonisima... niente finta!!auguri comunque a tutti ...
Anonymous said…
Hongera kwa wote..haswa kwa dadangu Mary, namtakia kila la kheri .. mwenyezi Mungu ampe riski na azidi kumfungulia milango yote. Huyo kijana simjui lakini naamini kuwa mipango ya Mwenyezi Mungu ni ya kheri, na ndoa yao itadumu.
Gfamily imfikie hii msg...kutoka kwa Hs Tk!
Anonymous said…
Hs Tk nimekupata salam zitafika (Gfamily)
Anonymous said…
Auguri sister Merry! nakutakia kila lakheri! ila tunategemea pia na ndoa itakuwa karibuni! mnapendeza pamoja! Christel(killy),MODENA.
Anonymous said…
DADA ESTER WA MODENA,ANAWATAKIA KILA LA KHERI, HAKUNA KITU KIZURI KAMA NDOA. ESTER a.k.a MAMA SHARON of esterngingo@yahoo.com.
5 Comments
niente finta!!auguri comunque a tutti ...
Gfamily imfikie hii msg...kutoka kwa Hs Tk!
(Gfamily)
mnapendeza pamoja!
Christel(killy),MODENA.
ESTER a.k.a MAMA SHARON of
esterngingo@yahoo.com.