KIKAO CHA MAZISHI LEO

Mkutano wa kujadili mazishi ya marehemu Abdallah Mjume aliefariki jana asubuhi,ulianza kwa kusimama kwa dakika moja kama ishara ya kutoa heshima kwa marehemu. Mkutano ulianza saa kumi na moja jioni ya leo jumatatu.Mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania Italy alitoa maelezo mafupi kuhusu marehemu na hatua zilizochukuliwa na uongozi tangu ile asubuhi ya jana ambapo viongozi walifika sehemu ya tukio mara tu walipopata taarifa za msiba.Mwenyekiti alisisitiza zaidi kuhusu michango na kuwa kila mmoja anawajibu wa kujitolea katika kufanikisha safari ya mwili wa marehemu ambao kama yote yatakwenda kama inavyotarajiwa basi mwili wa marehemu utaondoka siku ya jumamosi "alisema mwenyekiti.

Jimmy
Mjumbe maalum wa jumuiya ndugu A.Bendera (kulia) kushoto ni ndugu E.Kapongo Director wa Graphics and General services kutoka Dar es salaam ambae alikuwa mjini Torino katika semina ya wiki moja.



A. Bendera,DF & RAMA

James wa See Wear katika kikao cha leo
Watanzania katika majonzi



Copyright © 2008 Gfamily. All rights reserved

Post a Comment

6 Comments

Anonymous said…
kwa fariki kwa nini wajameni?nasikia kulikua na fight club,what went on from there?was he shot?
GFAMILY said…
hapana ugomvi haukuwa sababu ya kifo chake lakini taarifa kamili tutaipata kutoka hospitali.
Unknown said…
lakini kweli klichomuuwa haswa ni nini??
Unknown said…
lakini kweli klichomuuwa haswa ni nini??
Anonymous said…
lakini kweli klichomuuwa haswa ni nini??
Anonymous said…
jamani mbona sisi tumesikia kwamba there were some issues involved huko club,akarudi na wa america sijui kwao na ndio inasadikika walimfanyia kitu mbaya kwake huko. i hope people keep us up to dated