Wadau hii niliifuma sehemu fulani nje ya duka linaouza bidhaa kutoka Afrika mjini Napoli Italy,nikashindwa kuielewa, hasa ilinishtua ramani ya Tanzania. Halafu kuitafuta Malawi nikaikuta sipo ilipo, hebu mdau iangalie halafu tupe maoni yako,manake chini wanasema ni New Africa basi kama mtindo wenyewe ni huu basi Afrika inamomonyoko kwa kasi sana.

1 Comments