HII IMEKAAJE??


Wadau hii niliifuma sehemu fulani nje ya duka linaouza bidhaa kutoka Afrika mjini Napoli Italy,nikashindwa kuielewa, hasa ilinishtua ramani ya Tanzania. Halafu kuitafuta Malawi nikaikuta sipo ilipo, hebu mdau iangalie halafu tupe maoni yako,manake chini wanasema ni New Africa basi kama mtindo wenyewe ni huu basi Afrika inamomonyoko kwa kasi sana.

Post a Comment

1 Comments

Anonymous said…
Ni ramani ya kuchorwa kwa mkono hivyo inategemea mchoraji alikuwa anataka kuwasilisha ujumbe gani. Kwa hyo ni vigumu kupata tafsiri sahihi...labda dodosa wenye duka wakwambie ina maana gani.