HERI ZA MWAKA MPYA KWA WATANZANIA WOTE WALIOKO NCHINI ITALY NA WATANZANIA WOTE WALIO PANDE ZOTE ZA DUNIA. UJUMBE WANGU NKUTAKIENI AFYA NJEMA NAMRI MLEFU NA MOLA ATUKUBALIE YOTE TUNAYO YAPANGA KWA MWAKA UJAO 2009 . ASIE NA MTOTO MOLA AMPE ALIE NAE AMUONGEZEE NA ALIE MGONJUA MOLA AMPE AFYA NJEMA ATZIDISHIE MAPENZI KATI YETU. PIA NAKUTAKIENI HII MIEZI 12 YA FURAHA WIKI 52 ZA KUJIDAI SIKU 365 ZA MAFANIKIO MASAA 8760 YA AFYA NJEMA DAKIKA 525600 ZA AMANI SEKUNDE 31536000 ZA UPENDO KWA MWAKA 2009, HAPPY NEW YEAR.
SHEKHE JABU, MODENA ITALY.
0 Comments