DADA WAKITALIANI KATIKA MAPISHI YA KITANZANIA MAMA TANDIKA AKIWA NA WANAFUNZI WAKE KATIKA MLO BAADA YA SOMO LA MAPISHI
UMA AU KIJIKO HAVIKUTUMIKA KAMA ILIVYO TAMU YA PILAU NA MAANJUMATI NI KULIWA NA MKONO.
PILAU
MAMA TANDIKA AKIELEKEZA MAPISHI
KANGA KWA MWANAMKE INAPENDEZA
MAMA F.TANDIKA NI MWALINU WA LUGHA YA KISWAHILI NA UTAMADUNI WA MTANZANIA KATIKA CHUO KIKUU CHA NAPOLI ITALY,SIKU HII DARASA LILIHAMIA NYUMBANI KATIKA SOMO LA MAPISHI YA KITANZANIA.
0 Comments