Jumamosi ya tarehe 6 Juni mrembo kutoka Sweden, Leyla Ali, amewazidi wenzake na kutwaa taji la Miss Tanzania Schengen 2009 ndani ya mji wa Essen (Ujerumani).
naipenda sana blog yenu kazeni buti ila nilikuwa nataka ktuma car5toon kwenye blog yenu za matukio mbali mbali kuhusu tanzania kuonyesha matatizo yanayo ikabiri sereikali ya tanzania nassoromjusi@hotmail.com
comment yangu pekee itahusiana na BENDERA ya nchi yetu iliyopo nyuma ya mrembo wetu bi Leyla.Bendera hiyo si bendera ya Tanzania ingawa ina rangi zote zinazolingana na bendera ya nchi yetu.Bendera ya nchi yetu haina rangi ya kijani chini na bluu juu kama ilivyowekwa hii.NASHANGAA WAANDALIZI ILIKUWAJE WAKASAHAU JAMBO MUHIMU KAMA HILI.
3 Comments
nassoromjusi@hotmail.com
KAYU
ATHENS - GREECE