Napoli

Baada ya kisomo na mahanjumati Mwenyekiti wa jumuiya ya watanzania Italy Mh. Abdulrahaman A.Alli ,Lady Judy, Mama Fatuma Tandika (mjumbe) na katibu mkuu wa jumuiya ya watanzania Italy ndugu Kagutta N.Maulidi walipata picha ya pamoja. Picha na George Mayaka

Post a Comment

0 Comments