 |
| Marehemu Omari Bakari |
Tunapenda kuwatangazia wote kuwa Mwili wa Marehemu Omari pichani umeondoka Napoli tarehe 30-1-2013 kwa ndege ya shirika la KLM namba:KL 0571 na unategemewa kufika Dar Es Salaam Tanzania siku ya Alhamisi tarehe 31-01-2013 saa nne na dakika arobaini usiku. Mwili wa marehemu utapokelewa na Muwakilishi wa Jumuiya ya Watanzania Italia wa Tanzania
ndugu Emmanuel Reginald Kapongo. Kwa habari zaidi unaweza kuwasiliana na
Ndugu Kapongo kupitia namba hii:
(+255) 0713 062018
0 Comments