Mwenyekiti wa tawi la CCM Italy (Napoli) ndugu Abdulrahaman A.Alli na Katibu wa Tawi hilo ndugu Kagutta N.Maulidi walihudhuria mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika mjini Dodoma julai 10-11, 2010, Tawi la Chama cha Mapinduzi Napoli ni tawi la kwanza na pekee kufunguliwa Italy kufuatana na katiba ya CCM kuhusu matawi ya Chama cha Mapinduzi ya nje ya nchi.Pichani juu Mwenyekiti wa tawi la Napoli (Italy) ndugu Abdulrahaman A.Alli akiwa na Waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa Mh.Membe wakiwa katika mapumziko ya lunch mjini Dodoma (Kizota) picha ya kati ni Mwenyekiti na katibu wakati wa mapumziko .
2 Comments
Hamisi Ayubu, Muheza, Tanga.
Kumbukeni kuwa tunawajua mnafanya nii, huko Ulaya...afadhali mrudi tu hapa nyumbani muungane nasi maskini wa Kikwetu kwenye kilmo kwanza...
Shaban Mhina.. Muheza