EQUITY BANK YAWA MDAU MKUBWA WA DIASPORA


 Ushuhuda wa Diaspora kuzikubali huduma za Equity bank inayotoa huduma za kibenk kwa diaspora. Ubora na huduma ya mawasiliano kwa diaspora ndio kivutio kikubwa,zaidi akaunti zao hazina makato wala gharama za kufungua,na kwa upande wa mikopo nayo pia imekuwa kivutio kikubwa sana kwa diaspora kwani riba yake ni nafuuu mno. 


 

Post a Comment

0 Comments