Tunasikitika kuwatangazia kuwa yule mrembo tuliesema kuwa atolewa rasmi leo jumamosi 28/06/2008 kwa mara ya kwanza,hilo limeshindikana kwa sababu zisizoweza kuzuilika,tunaomba samahani kwa kuwaweka mkao wa kula. taarifa rasmi tutawaletea muda si mrefu.
1 Comments