USIKOSE SPORAH SHOW!

kwa maelezo zaidi ya mwanadada huyu Sporah Joseph tembelea hapa:www.sporahshow.com
mambo ya UK tena anawakilisha ndani ya SKY 194 Kila jumatatu saa nne na nusu usiku.
wad

Post a Comment

21 Comments

Anonymous said…
Sporah is doing sooooooooo well, i watches her Show on SKY 194 on Monday,
Ee Bwana ee!! Sikuamini kama ni Mbongo.
I trespect Her.
Tunatakiwa tumpe hongera zake.

She is Beautyfull and Talented.

BIG UP FOR SPORAH SHOW GUYS
Mshua said…
WOOW!!
Sporah Your Something else.
Hongera zako dada angu.

Wakilisha nchi dada etu.
Mshua said…
Nilisahau kusema,
Sasa Wabongo muanze, tunatakiwa kumsaport huyu dada ambaye anatuwakilisha kwenye SKY 194, Every Monda 10:30pm

Sio tuanze tena kumponda kumuaribulia kazi yake, Tumsaport jamani,
Mambo ya kina Oprah haya kina Tyra Banks,
Mi naomba Dada Spora kama unahitaji ushauri tembelea office zetu pale Ubalozini popote unapokua umekwama.

WATANZANIA, AMKENI
and Dont Miss Sporah Show Every Monday at 10:30 SKY 194


Kila la kheri dada Sporah, Usisikilize watu, najua watasema sana, Usigeuke nyuma, huu ni mwanzo wa maendeleo, wakilisha nchi dada yetu, ndio tunataka kusikia mambo haya kwa Kinadada zetu wa Bongo.

Go go go Sporah!!
Its your time Usigeuke nyuma.
Mungu akulinde.
Anonymous said…
Hongera, Tuwakilishe dada Sporah huko kwenye mataifa makubwa.
Sasa je huku Bongo tutakionaje kipindi chake?

Tuletee basi na huku kwetu ITV au
Mana inaonyesha huyu dada sio mchezo.

wakilisha dada
Anonymous said…
Sporah, I Love everything about your show Girl, Just keep it up.
And don't listen to anybody, WANAWIVU
Anonymous said…
Yes, at last Mtanzania Anatuwakilisha njgazi za kimataifa.
Am happy for her
Anonymous said…
Mi nampenda sana huyu dada lakini!!!
Mme wangu ananitia wasiwasi mana hataki kukikosa kipindi cha Sporah Show, na kila saa namkuta kwenye internet anaangalia website ya Sporah Show,
Jamani nimfanyaje?
Nimchukie Sporah au Nimchukie Mme wangu?

Simuonei Sporah wivu ila Mme wangu ananitisha jamani? sasa sintaonekana namchukia Sporah?

Ila nampongeza sana huyu dada,Anawakilisha SKY,MTV Base, simchezo jamani.
Anonymous said…
Sporah ni Noma
Anonymous said…
Tembeza bendera ya east Africa mdogo wangu
Anonymous said…
Huyu Demu anakubalika kimataifa, sio kwa Wabongo tu, na ndiomaana yupo kwenye ma MTV, SKY,
Mi naomba tu asisahau kusaidia kuisaidia nchi yake.
Anonymous said…
Huyo Dem Ni Mpoa, ile assijekuringa badaye, kuforget East Africa.
Anonymous said…
Big up Sporah
Anonymous said…
Napenda tu kumpongeza huyu dada kwa kazi yake, Si mchezo.

Hongera zake
Anonymous said…
Watched her program this week on line, it wa Fab..
Big up East Africa
Anonymous said…
Mbona huyu mtoto jamani hajulikani huku Bongo???
Mbona mnamficha huko Ulaya, Mi naomba tu mzee mnisaidie contact zake, kwakweli nimkali!!!!!!!!
Au!!! Mi nimesifia tu babuu
huyu mtoto ni mzuri ila Maringo sasa ndio sina uhakika
Ila naomba basi aje Home watu wamjue bwana kama anatuwakilisha huko mamtoni kimataifa au sio babu!!
Anonymous said…
I Like her,
I think if she knows what she is doing, she can reach very far.
Oprah Winfrey started exactly like that.

Hope she has good people around her, because she has got all what it takes.
wish her all the best
Anonymous said…
love her show.
Anonymous said…
Love this week show, She was looking sooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo nice.
I think she is very talented lady.
Anonymous said…
I Like her
Anonymous said…
She is good, and very confident lady,
I wish all women could have be like her, especial African Women.

I like the way she dress, the hair everything is just soooooooo good.

Bless Sporah
Anonymous said…
Nampenda sana huyu mtoto jamani, Lakini anaonekana Highclass, mi mbongo ntamuweza!!!!!!!
Naombenei ushauri jamani.

Nikimuangalia kwenye TV natamani niingie ndani ya TV, Si utani babu, Nakupenda sana SPORAH, kama unaisoma hii meseji.