kwa maelezo zaidi ya mwanadada huyu Sporah Joseph tembelea hapa:www.sporahshow.commambo ya UK tena anawakilisha ndani ya SKY 194 Kila jumatatu saa nne na nusu usiku.
wad
kwa maelezo zaidi ya mwanadada huyu Sporah Joseph tembelea hapa:www.sporahshow.com
21 Comments
Ee Bwana ee!! Sikuamini kama ni Mbongo.
I trespect Her.
Tunatakiwa tumpe hongera zake.
She is Beautyfull and Talented.
BIG UP FOR SPORAH SHOW GUYS
Sporah Your Something else.
Hongera zako dada angu.
Wakilisha nchi dada etu.
Sasa Wabongo muanze, tunatakiwa kumsaport huyu dada ambaye anatuwakilisha kwenye SKY 194, Every Monda 10:30pm
Sio tuanze tena kumponda kumuaribulia kazi yake, Tumsaport jamani,
Mambo ya kina Oprah haya kina Tyra Banks,
Mi naomba Dada Spora kama unahitaji ushauri tembelea office zetu pale Ubalozini popote unapokua umekwama.
WATANZANIA, AMKENI
and Dont Miss Sporah Show Every Monday at 10:30 SKY 194
Kila la kheri dada Sporah, Usisikilize watu, najua watasema sana, Usigeuke nyuma, huu ni mwanzo wa maendeleo, wakilisha nchi dada yetu, ndio tunataka kusikia mambo haya kwa Kinadada zetu wa Bongo.
Go go go Sporah!!
Its your time Usigeuke nyuma.
Mungu akulinde.
Sasa je huku Bongo tutakionaje kipindi chake?
Tuletee basi na huku kwetu ITV au
Mana inaonyesha huyu dada sio mchezo.
wakilisha dada
And don't listen to anybody, WANAWIVU
Am happy for her
Mme wangu ananitia wasiwasi mana hataki kukikosa kipindi cha Sporah Show, na kila saa namkuta kwenye internet anaangalia website ya Sporah Show,
Jamani nimfanyaje?
Nimchukie Sporah au Nimchukie Mme wangu?
Simuonei Sporah wivu ila Mme wangu ananitisha jamani? sasa sintaonekana namchukia Sporah?
Ila nampongeza sana huyu dada,Anawakilisha SKY,MTV Base, simchezo jamani.
Mi naomba tu asisahau kusaidia kuisaidia nchi yake.
Hongera zake
Big up East Africa
Mbona mnamficha huko Ulaya, Mi naomba tu mzee mnisaidie contact zake, kwakweli nimkali!!!!!!!!
Au!!! Mi nimesifia tu babuu
huyu mtoto ni mzuri ila Maringo sasa ndio sina uhakika
Ila naomba basi aje Home watu wamjue bwana kama anatuwakilisha huko mamtoni kimataifa au sio babu!!
I think if she knows what she is doing, she can reach very far.
Oprah Winfrey started exactly like that.
Hope she has good people around her, because she has got all what it takes.
wish her all the best
I think she is very talented lady.
I wish all women could have be like her, especial African Women.
I like the way she dress, the hair everything is just soooooooo good.
Bless Sporah
Naombenei ushauri jamani.
Nikimuangalia kwenye TV natamani niingie ndani ya TV, Si utani babu, Nakupenda sana SPORAH, kama unaisoma hii meseji.