NAPOLI

Kutoka kushoto ndugu RICKY JG.BONDO mwakilishi wa jumuiya ya Watanzania GENOVA,mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania Italia  Mh.ABDULRAHAMAN A.ALLI, ndugu ZACHARIA MHESSA mwakilishi wa jumuiya ya Watanzania PADOVA na VENEZIA na katibu mkuu wa jumuiya ya Watanzania Italia ndugu KAGUTTA N.MAULIDI. wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mkutano mkuu wa jumuiya uliofanyika siku ya jumamosi 24/04/2010 makao makuu ya jumuiya mjini Napoli-Italy.
(photo by George Michael Mayaka)

Post a Comment

0 Comments